Zao la maharage linapendwa na wakulima wengi kwa sababu kwanza linachukua mda mfupi kukomaa, pili halina gharama kubwa katika uzalishaji wake na tatu lina bei nzuri sana sokoni karibu nyakati zote hata wakati wa mavuno (yaani msimu wake).
Maharage yamekusanywa kwenye turubai tayari kwa kupiga |
Kupepeta maharage baada ya kupiga |
Labels: KILIMO BORA