Job site ads

About

MOGRICULTURE TZ

Mogriculture Tz ni blog mahsusi kwa ajili ya kutoa elimu juu ya Kilimo bora na Ufugaji wa kisasa. Lengo kuu likiwa ni kumuwezesha mkulima, muwekezaji au mdau yeyote yule wa kilimo au ufugaji kuendesha kitaalamu na kwa tija kiuchumi.

Mogriculture Tz ina lenga kuwa chanzo kikubwa cha Elimu na habari zinazohusu Kilimo na Ufugaji Tanzania. Pia blog hii inatoa ushauri na nasaha bure kwa wakulima wanaotaka kuanza project zao za Kilimo au Ufugaji.


WAANDISHI WA MOGRICULTURE TZ

Mogriculture Tz ina waandishi wafuatao:

  1. MTALULA Mohamed

Ni muanzilishi wa Blog hii. Yeye ni mtaalam wa kilimo, ana shahada ya kilimo aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Sokoine, SUA (Morogoro, Tanzania). Kwa sasa yeye ni mfanyakazi, Field Section Manager, katika kampuni ya sukari ya Mtibwa Sugar (Morogoro, Tanzania).


   2. LUDOVICK Mahundo

   3. MSEKENI Rashid


Tuunge mkono kwa ku-subscribe na ku-share blog yetu kwenye social media.
Karibu, na endelea kuwa nasi!