mogriculture.com

VITABU

1. JE UNAHITAJI VITABU VYA MAKALA ZETU?

Sifa za vitabu vyetu:


 • Tumevi-design vizuri na sio tu PDF kama ilivyokuwa zamani
 • Kitabu ni kikamilifu: yaani kitabu kimoja cha somo husika kinaeleza somo hilo mwanzo mpaka mwisho wake.
 • Masomo yetu yameelezwa kwa lugha rahisi, yamepangiliwa vizuri na yamepambwa na picha mbalimbali na hivyo ni rahisi kusoma na wala hayachoshi kusoma.


Picha za baadhi ya vitabu vyetu: 

Kilimo-cha-bamia

Kilimo-cha-matango

Kilimo-cha-pilipili-hoho


Bei za vitabu vyetu ni TZS 2500 tu. Ili kupata vitabu vyetu unachotakiwa kufanya ni kutuma pesa kwa namba yetu ya tigo 0655 570 084 (Hamis Mtalula) halafu utume SMS kwenda namba hiyo hiyo ukieleza jina lako na vitabu unavyohitaji. Kwenye hiyo SMS iweke pia email ambayo tutaitumia hivyo vitabu au whatsapp ukitaka.Vitabu ambavyo viko tayari:
 • Kilimo cha Bamia
 • Kilimo cha pilipili Hoho
 • Kilimo cha Maharage
 • Kilimo cha Nanasi
 • Kilimo cha Matango
 • Kilimo cha Viazi vitamu
 • Kilimo cha Vitunguu
 • Kilimo cha Vanila
 • Kilimo cha Karanga
 • Kilimo cha Tangawizi


...Na kila siku tunatengeneza vitabu vingine vipya, hivyo kama unachotaka hakipo kwenye listi tafadhali wasiliana nasi (namba ipo hapo juu). Tafadhali bofya hapa kwa maelekezo zaidi au bofya hapa kuwasiliana nasi.
2. KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA